Latest News

tazama PICHA za ZARI ALL WHITE PARTY EVENT

ALL WHITE
Haya sasa Kimenuka ...jana usiku maeneo ya Mliman City ilifanyika moja ya BONGE la party ,ZARI AAL WHITE PARTY, ambako watu walijumuika na kufurahi huku muandalizi wa Event hii ZARI akiwa na DIAMOND PLATNUMZ wakionekana na Furaha



Zari na mpenziwe Diamond wakiingia kwenye PARTY


Na hii Ndio Mliman city ilivopambwa ikapambika







Ya Moto Band wakisubir kufanya Show



Askari wakiwaondoa waliokosa Ticket
source:
GPL

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.