Latest News

hii ndio CHEKECHA ya ALI KIBA inavotengenezwa huko SOUTH AFRICA..tazama PICHA!

MCHIZI WA GHETOO...KING KIBA!!!


Baada ya kuchelewa kutoa Video ya Ngoma yake mpya "CHEKECHA" sasa alikiba yuko njiani kudondosha video hii...na kilichomfanya kuchelewa kuitoa video hii ,ni kuhusu machafuko yanayatokea SOUTH AFRICA "XENOPHOBIA" yaliomfanya kushindwa kwenda kushoot video hii.


Picha zote hizi ni katika Matengenezo ya Videohiyo CHEKECHA inayotengenezwa huko Africa Kusini  

















CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.