Latest News

HII NDIO LIST YA WASHINDI WA KILIMANJARO MUSIC AWARDS - 2015

Katika NOMINEES ambazo zilizotolewa hivii karibuni...hawa ndio washindi wa vinyang'anyiro hivyo!!

BOFYA HAPA -> NOMINEES LIST -2015 ...kufahamu LIST YA NOMINEES WOOTE!

WASHINDI - 2015
1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND

2. KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB

3. BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA

4. MSANII BORA CHIPUKIZI - BARAKA DA PRINCE

5. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA (WAITE) -MRISHO MPOTO FT. FELLY KANO

6. WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA - NITAMPATA WAPI - DIAMOND PLATINUMZ

7. WIMBO BORA WA AFRO POP - MWANA ALI KIBA

8. VIDEO BORA YA MWANAMUZIKI YA MWAKA - MDOGOMDOGO - DIAMOND PLATINUMZ

9. MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA BENDI - ENRICO

10. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA BONGO FLEVA - NAHREEL

11. MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP - JOH MAKINI

12. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - JOSE MARA

13. MTUNZI BORA WA MWAKA BONGO FLEVA - ALI KIBA

14. MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB- MZEE YUSSUF

15. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIUME - ALI KIBA

16. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIKE - VENESSA MDEE

17. MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB - MZEE YUSSUF

18. MWIMBAJI BORA WA KIUME BONGO FLEVA - ALI KIBA

19. MWIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB - ISHA MASHAUZI

20. MWIMBAJI BORA WA KIKE BONGO FLEVA - VANESSA MDEE

21. WIMBO BORA WA TAARAB (MAPENZI HAYANA DHAMANA)- ISHA MASHAUZI

22. WIMBO BORA WA MWAKA (MWANA)- ALI KIBA

23. WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI (WALEWALE) -VIJANA WA NGWASUMA

24. WIMBO BORA WA R&B (SIKSIKII)- JUX

25. RAPA BORA WA HIP HOP - KIPI SIJASIKIA ( PROF J FT. DIAMOND PLATINUMZ)

26. MSANII BORA WA HIP HOP - JOH MAKINI

27. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI (SURA YAKO) - SAUTI SOL

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.