Latest News

CHRIS BROWN kujichora TATTOO ya SURA ya mtoto wake...tazama picha na soma habariMwimbaji wa mindokoya R&B ,chris brown jana tarehe 5/06  ameamua kujichora tattoo ya sura ya  mwanae, Royalty kwa kuonesha mapenzi ya dhati aliokuwa nayo mtoto wake huku mwenye miaka 2.Mwanamuziki huyu anajitaidi sana  kuonesha dunia mapenzi aliokuwa nayo kwa mwanae huyu ,sio tu kujichora tattoo. Chris Brown albamu yake ya mwisho aliotoa mwaka jana inakwenda kwa jina la mwane huyo Royalty

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.