Latest News

CRISTIANO RONALDO kuitupa MIC ya MWANDISHI ziwani...


Jumatano ya tarehe 22/06 , Ronaldo alikuwa akitembea na wenzake wa Team yao ya Taifa ya Portugal pembezoni mwa ziwa , baada ya mwaandishi wa Habari mmoja kumuuliza swali ,Mchezaji huyo kutokja club ya Real Madrid aliamua kwa Hasira kuchukua Mic ya mtangazaji huyo na kuitupa ziwani .


Mchezaji huyo wa club ya real madrid , inaelewakuwa kuwa anashutumiwa na vyombovya habari badala ya kukosa Penalty katika mechi baina yao na Austria na kushindwa kupata ushindi nakutoka suluhu katika mechi dhidi ya Iceland.

TAZAMA VIDEO HII HAPA..alichokifanya CR7


source:
thegurdian
bbc

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.