Latest News

hizi ndio NOMINEES ZA BET AWARDS 2016


DRAKE
Zifuatazo ni NOMINEES za BET AWARDS kwa mwaka 2016, ambapo msanii kutoka YOUNG MONEY ,Drake anayetamba na kibao cha "One dance" anaongoza kwa Nominees 9 kwenye awards hizi, akifuatiwa na Beyonce na Rihanna

huku nako Adele ,ambae ni msanii kutoka UK amekuwa kwa mara ya kwanza kuwa nominated katika BET AWARDS kwenye kinyang'anyiro cha Msanii Bora wa mwaka wa R&B/POP.

Hapo napo msanii kutoka EAST AFRICA , DIAMOND PLATNUMZ yuko kwenye nominee ya BEST INTERNATIONAL ACT : AFRICA

TAZAMA NOMINEE ZOTE HAPA..



















Best International Act Africa

Aka (South Africa)

Black Coffee (South Africa)

Cassper Nyovest (South Africa)

Diamond Platnumz (Tanzania)

Mzvee (Ghana)

Serge Beynaud (Cote D'ivoire)

Wizkid (Nigeria)

Yemi Alade (Nigeria)

Best International Act U.K.

Kano

Krept & Konan

Lianne La Havas

Skepta

Stormzy

Tinie Tempah

source:
eonline
bet

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.