Latest News

PHOTOS : SAMUEL ETO'O wedding day

Aliekuwa mchezaji wa zamani wa vilabu vya FC Barcelona na Chelsea Samuel Eto’o jana, June 14 2016 amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Georgette Tra Lou. Eto'o alifunga ndoa jana huko Italy na Georgette ambae kwa sasa wana watoto wawili na source zinaeleza kuwa wawili hao walishafunga ndoa tangia mwaka 2007 .


Ndoa hii ilihudhuriwa na alikuwa captain kwenye club ya FC barcelona, Carlos Puyol, pia na aliekuwa mmiliki wa zamani wa kilabu ya Chelsea, Massimo Morrati .
Carlos Puyol na mkewe
Massimo Moratti



Bwana Harusi akishuka kwenye gari

 
Bibi harusi akiwa kwenye gari tayari kuingia kanisani

Bibi harusiakishuka kwenye gari


Bibi harusi akisindikizwa kanisani




CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.