Latest News

WiZKID kushirikiana na CHRIS BROWN kwenye TOUR huko EUROPE

Hii ni moja ya mafanikio makubwa katika muziki kushirikiana wa wasanii wakubwa kwenye tasnia hii ambayo imemkuta mwanamziki kutoka nigeria ,WIZKID ambapo inasemekana kuwa msanii huyo atashirikiana na Chris Brown katika moja TOUR itakayofanyika huko europe .


Tour hiyo inayoenda kwa jina la ONE HELL OF A NITE TOUR itakayojumuisha nchi tatu ambazo ni Denmark ,Germany and Holland .

Katika ukurasa wake wa Instagram, Chris brown alipost picha kwa muonekano inayomtambulisha wizkid kushirikiana nae kwenye hiyo tour


Baada ya mda kidogo nae wizkid akapost picha hiohio akithibitisha ushiriano wake na chris brown kwenye tour yake.

  
kwa habari nyingine kuhusu wizkid ,bonyeza hapa --> wizkid , pia LIKE ukurasa wetu wa FACEBOOK PAGE hapa--> obbytune

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.