Latest News

HOOT NEWS : WOKA FLOCKA FLAME akamatwa na BASTOLA !


Imeelezwa na mtandao wa mastaa TMZ kuwa woka flame alikamatwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa uuitwao Hartsfield-jackson huko atlanta akiwa na silaha ambayo iko 'loaded' kwenye begi lake ...

Waka alikamatwa na silaha hiyo na hakuwa na 'permit' ya silaha hiyo na kushitakiwa kwa kubeba silaha mahali ambapo hapatakiwi na sasa anyia debe...


the Hartsfield-Jackson Atlanta International Airport when a security scan turned up a loaded handgun in his bag.

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.