Latest News

BEHIND THE SCENE : IYANYA FT DIAMOND PLATNUMZ - Nakupenda

Video ya Nyimbo mpya ya Iyanya Ft Diamond platnumz, Nakupenda inakaribia kutoka na hii hapa ndio 'Behind the scene' ya video hiyo ambapo audio yake ilitoka February,19,2015...




Video hii ilifanyika huko Lagos Nigeria na cinematographer maarufu nchini humo anayeitwa Patrick Ellis


Endelea kutanzama PICHA na Angalia video hapa chini...


Kufahamu mengine kuhusu Diamond Bofya hapa -->; DIAMOND 
Kufahamu mengine kuhusu iyanya Bofya hapa --&>; iyanya



TAZAMA BEHIND THE SCENE HAPA CHINI...!!








CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.