Latest News

CELEB MFUPI KULIKO WOOTE DUNIANI NA PIA MWANAMKE MFUPI DUNIAN


Kwa jina kamili anaitwa Joyti Amge amezaliwa 19/12/1993 kwa sasa miaka 21 huko Nagpur, Maharashtra ,India .
 Si Joti wa ZE COMEDI ,la hasha bali ni mwadada ambaye ni actor mkubwa kwa sasa na kilichompatia ustaa ni hali yake ya maumbile kuwa yeye ni mbilikimo(dwarf) , kupata shavu la kushiriki muvi kama Body shock (2009), American Horror story (2011), Big Boss 6 (2012-2013) American Horrow story FreakShow (2014).

Akiwa na Erika Elvin,mmoja wa mastaa katika movie ya American Horrow
Mbilikimo huyu ,katika siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 18 mnamo mwaka 2011 ,alitaja kuwa THE WORLD'S SMALLEST WOMAN ,na Jarida la rekodi zinazovunjwa Duniani (GUINNESS WORLD RECORDS) .

Akinyakuwa Chet chake kutoka Guinness  Record -2011

AKIJIKWATUA


SMILLING ,She Does The Best, From Me ,the Author , i give her credit! :)






CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.