Latest News

CHRIS BROWN kupropose kwa KARRUECHE TRAN siku yake ya kuzaliwa (May-17)

HOOT NEWS!
Inasemekana kuwa Chris Brown anataka kurekebisha uhusiano wake na X-wake, Karrueche tran . Imeeleza na HollywoodLife kuwa Star huyo wa R&B analisema anataka kuishi maisha yake yote na mpenzi wake Karrueche Tran na sasa anataka kuprove kwamba ni kweli...


BIRTHDAY PRESENT  will be a "QUESTION WITH ONLY 1 ANSWER"
HollywoodLife imendelea na kusema kuwa tarehe 17/05 katika sherehe ya kuzaliwa kwa kae akitimiza miaka 27, Chris brown hatomnunulia zawadi ya kawaida kimwana huyu bali anapiga goti na Ku-pop a question kwa kumpa Kae Diamond ring



Source :
hollywoodlife.com


CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.