Latest News

EVENTs : JAY Z na MASTAA WENGINE wajiunga kufungua APPLICATION mpya ya MUSIC, inayoitwa TIDAL, JUA WASANII WAKIBONGO AMBAO WAPO KWENYE APP HIYO...

Mnamo tarehe 30/03 (Juzi) ,Jay Z n wasanii wa muziki waliungana kufungua application(programu tumishi)  mpya inayoitwa TIDAL ambayo itakayotumika kwa ajili ya kusikilizia muziki wa wasanii mbalimbali hapa duniani , pia unaweza kupata videos zao na habari mbalimbali kuhusu kila msanii wa muziki ambae yupo katika mtandao huo...


Jay z alinyakua kazi hii kwa kiasi cha shilingi Milioni 56 dola za kimarekani mwanzoni mwa mwaka huu(2015)...Event hii iliyofanyika huko NYC marekani ilishirikisha wasanii wafutao Rihanna, Nicki Minaj, Daft Punk, Usher ,Madonna, J Cole na wengine wengi .

Wafuatao ni wasanii ni wakiBONGO ambao unaweza kuwapata kwenye mtandao huo..
A.Y , Vanessa Mdee, Diamond Platnumz , Jux , Flora Mbasha
Tazama video ya uzinduzi huo hapa...



Hizi ndio Picha za event hioo...















CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.