Latest News

HOOOT NEWS ; DRAKE kupigwa BUSU na MADONNA katika stage..tazama VIDEO na PICHA

SMOOOCH..!!

Drake alitulia na hakujua kipi kinafata bali ni Bonge la Busu kutoka kwa Madonna ambako walikuwa wakitumbuiza katika Tamasha la Coachella-2015 lililofanyika juzi tarehe 12/05 ...



Her Dream Came True... 

Mtandao wa TMZ umeeleza kuwa ilikuwa ni moja ya ndoto za Madonna za muda mrefu kudate(mtoko) na drake na kupigwa busu (SMOOCH !!)

AAAUURRRHH!!!!...
  
katika steji hiyo ,baada ya drake (age28) kupigwa busu na Madonna (age 56) ,ingawa ni moja kati ya furaha katika miaka 1985 kwa kijana yeyote kudate na madonaa, lakini Drake inaonekana hakupendezwa na kitendo hicho , na alionekana akifut lips zake na pia akikunja sura, Tazama picha hapa !


TAZAMA VIDEO ya TUKIO hilo Hapa ...


CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.