Latest News

HOOT NEWS: JE!..unajua kama AMBER ROSE na WIZ KHALIFA sasa WARUDIANA TENA..Soma habari kamili HAPA...


Waswahili wasema ... wagombanao ndio wapatanao ...

Kwa sasa mwanadada amber rose aliyekuwa amedai taraka kwa mume mwanamuziki wa miondoko ya Rap na HipHop ,wiz khalifa mnamo tarehe 22/09/2014( Bonyeza hapa kujua mkasa wa kuachana) ameamua kurudiana na mwanahiphop huyo kutoka kundi Tailor Gang ...

Mtandao wa habari za mastaa wa Majuu huko kwa Obama  ,TMZ umeeleza kuwa nyimbo ya Wiz khalifa kutoka kwenye Soundtrack ya Fast and Furious 7 inayoitwa "See You Again" ndio ilimbadilisha mawazo mwanadada Amber rose badala ya kusikia moja ya verse ya nyimbo hiyo...inasemekana hii mistari ndio iliyomkamata...
"  How could we not talk about family when family's all that we got?     Everything I went through you were standing there by my side    And now you gonna be with me for the last ride  "

Tmz sources walisema kuwa wiz alimuomba amber asikilize hiyo nyimbo , baada kusikiliza amber alimpigia wiz na wakakubaliana kumlea mtoto wao sebastian kwa pamoja .

HUYU NDIO AMBER ROSE...

Kama UMEIPENDA HABARI HII...COMMENT NA PIA SHARE KWENYE FACEBOOK PAGE YAKO ..AHSANTE!


WAKILA KUUUUSH...!!! :)) Baada ya harusi

Siku ya HARUSI 

WHATTTT...eti HUYU ama yake AMBER ROSE duuuh!..Kweli uzee mwisho AFRICA ,Ulaya kila Mtu KIJANA

WEDDING MOMENT
LOVELY MOMENTs
dOPE FAMILY

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.