Latest News

JAMIE FOXX announces NEW ALBUM


Jamie Foxx ni mwigizaji wa filamu pia ni Comedian (mchekeshaji) ukiondoa kazi hizo Jmie pia ni mwimbaji na hajawahi kutoa album kwa kipindi cha miaka inakaribia mitano ...

Hii sababu ya kujishughulisha saana na uigizaji wa filamu ...Jana alhamis usiku aliotangaza kuwa anakaribia kutoa album kwa jina la HOLLYWOOD ...

Jamie alipost Flipagram katika account yake ya Instagram akitambulisha kazi hiyo...Hii hapa Tazama...
A video posted by Jamie Foxx (@iamjamiefoxx) on



Source:
Jamie Foxx instagram

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.