Latest News

Manny Pacquiao Vs Floyd Mayweather : MKANDA wa PAMBANO la May-2 unagharimu zaidi ya BILIONI 1.5 za Kitanzania


$ 1 MILLION DOLLAR BELT

Mkanda wa pambano la May-2 ,Manny Pacquiao Vs Floyd Mayweather unagharimu kissi cha dollar za kimarekani milion 1 ni sawa na zaidi ya bilioni 1.5 za kitazania ...
Mkanda huu atazawadiwa mshindi wa pambano hili litakalofanyika May-2


ULINZI BINAFSI WA KUTOSHA KUSAFIRISHA MKANDA WA HUU.

Imeelezwa kuwa mkanda huu utasafirishwa kutoka  Mexico kwenda Las vegas ...Tmz imeeleza kuwa mkanda huu utasafirishwa kutoka Mexico kwenda MGM grand ambako pambano hilo litakaliofanyika na utakuwa ukisindikizwa na Raisi wa WBC (world Boxing Champion) pamoja na Security wawili.


source :
TMZ

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.