Latest News

MAYWEATHER TEAM kumdiss MANNY PACQUIAO

TMT disses PACQUIAO

Manny Pacquiao amepewa Punching Bag lenye sura ya Mayweather kutoka kwa team ya Mayweather kumtaarifu kuwa aenjoy kupiga hiyo mayweather punching bag sababu haiwezi kumpiga mayweather hata ngumi moja kwenye pambano lao...

Source imeeleza kuwa Punching Bad hiyo ilitoka kwa mmoja wa super fan wa ngumi mstaa Robert Shapiro

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.