Latest News

WE ARE WORLD - Africa version #NoToXenophobia

WE ARE THE WORLD - AFRICA
 Kwenye mapigano ya EBOLA na ubaguzi wa WAGENI huko South Africa (XENOPHOBIA)  baadhi ya wasanii kutoka nchi tofauti Barani Afrika kuungana . katika muungano huo wasanii walitoa kibao cha 'WE ARE THE WORLD' ambayo kilikuwa ni version ya Africa-2015


Akiwemo Msaani kutoka hapa CHINI  , DIAMOND PLATNUMZ , kibao hichi kilihusisha wasanii 180 kutoka nchi saba hapa afrika ambazo ni  – Nigeria, Zimbabwe, Tanzania, Kenya, Mozambique, Cameroon and South Africa

Tazama VIDEO HII HAPA...





CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.