Latest News

BREAKING NEWSS: sasa RIHANNA AJIACHIA na KARIM BENZEMA

HAYA SASA RIRI...!!

Mcheza mpira wa soka kutoka Real Madrid ,Karim Benzema na Rihanna wamekuwa wakionekana pamoja kwenye kumbi za starehe hivi karibuni...



Mtandao wa mastaa huko Marekani ,TMZ umesema Rihanna na karim walionekana wakitoka kwenye moja ya kumbi za starehe na hata kama walitoka mda tofauti lakini walikuwa pamoja...
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI




NA ...ilisharipotiwa kuwa Karim na RIRI wakuwa pamoja huko East Cost ya marekani na pia kupata Breakfast ndani ya NYC asubuhi moja wapo wikiiliyopita.

source:
TMZ

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.