Latest News

DAVIDO apost Bendera ya TANZANIA INSTAGRAM...soma COMMENTS za WATU..!!!

KIMENUKAAA....!!
sijui ina maana gani kwa msanii Davido kutoka Nigeria kupost Bendera ya Tanzania kwenye Ukurasa wake wa Instagram lakini ndugu msomaji kumbuka kwamba huu ni wakati wa mashindano ya kugombania kura za MTV MAMA ,kwahiyo hajulikani kama huyu Msanii anataka kupata kura kuoka TZ kwa show Love kwa nchii yetu au la....na hichi ndio moja ya comments za kwenye Post hii imemaanisha...


Soma Comments za Post hiyo kujua watu wamechuliaje post hiyo...



A photo posted by Davido Adeleke (@davidoofficial) on

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.