Latest News

Hawa ndio MACELEBRITY WANAOMILIKI NDEGE | CELEBRITIES WHO OWN PRIVATE JET

HEADLINES !!!!!
Haya ndio maisha ya mastaa wenzetu wa huko ... wakati wabono tukijiimalisha kwenye usafiri wa barabarani wengine wanajimalisha kwenye usafiri wa Anga... wanapata pesa nyingi kwenye kazi zao ikiwa kama ENTERTAINMENT ni moja ya kitu kichoiletea taifa la marekeni kipato kikubwa , kwahiyo hii haina haja ya kusema kuwa Mastaa wa marekani hawana mshiko Mnene.

Katika Mshiko wanaoupata hii ndio moja kati ya matumizi yao..

TAZAMA MASTAA WANAOMILIKI NDEGE IKIWA NI USAFIRI WAO PAMOJA NA MSHIKO WALIONUNULIA USAFIRI HUO.

Harrison Ford
Model: Cessna 680
Estimated Cost: $18,000,000 (£11,800,000)


Bill Gates
Bombardier BD-700 Global Express
Estimated Price: $40 million











Sources:
Dairlmail.com
ranker.com

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.