Latest News

haya ndio MALIPO ya LIL WAYNE kwa SHOW 1 ya DAKIKA 15...

Usanii wa Muziki ni moja ya kazi nzuri katika mambo ya malipo na Hasa ukiwa unakubalika na Jamii ,nakukwaa tuzo kubwa kama Grammy's ,BET ,BillBoard na zengine kibao,si mwingine ni Mwimbaji, pia ni muanzilishi wa kundi la YOUNG MONEY ,ambalo lenye wasanii wakali kama Drake,Tyga, Nicki Minaj, Cory Gunz na wengine kibao...



Lil wayne nimmoja wa Rapper mwenye Mafanikio Makubwa kwa Kipindi cha Miaka 10iliyopita mpka sasa kwa kutoa ngoma kali kama "Lollipop," "A Milli," na "She Will," ,Lakini kwa mafanikio hayo yote ,Je Mkali huyu anatengeneza kiasi cha Shilingi Ngapi kwa SHOW 1 ya dakika 15 kwenye Club au kumbi yeyote...

WANASEMA 6-FIGURE ; yaani Maelfu 100.





Source zimeeleza kuwa kutoka na Showw za msaniihuyu za hivi karibuni na Show za kwenye maclub anazozifanya ,Lil wayne anachukua kiasi cha Dollar 110,000 kwa kupafom kwa Dakika 15, sasa ina maana kama kila nyimbo anatakayo imba inatumia dakika 3 ina maana ataimba nyimbo 5 kwa kukamilisha dakika 15.
Kwahiyo ndugu msomaji Lil'wayne anachukua Pesa ambayo ni zaidi ya 242,000,000 kwa Fedha ya kiTanzania ...Duuh!! sasa kama Sio maisha mazuri then ninii..?!


source:
celebritynetworth

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.