Latest News

DIAMOND PLATNUMZ kuwania tuzo za EUROPEAN MTV AWARDS (EMA)


Tuzo za MTV Europe Awards maarufu kama MTV EMA kwa mwaka huu wa 2015 zimemtaja Diamond Platnumz kuwa miongoni mwa wasanii kutoka Africa wanaowania kipengele cha ‘Best African Act’, wasanii wengine waliobahatika kuingia kwenye kipengele hicho ni; Davido, AKA (South Africa) na Yemi Alade (Nigeria).


AKA kutoka South Africa.

Davido kutoka Nigeria

Yemi Alade ni msanii pekee wa kike kwenye kipengele hiki cha Best African Act

MTV EMA 2015 inahitaji mtu wa tano kukamilisha orodha ya ‘Best African Act’ mtu wangu na kama wewe ni mdau mkubwa sana wa muziki mzuri basi MTV EMA 2015 inakupa wewe nguvu na kibali cha kumchagua mtu wa 5 unaehisi atafaa kuchuana na Diamond Platnumza na wengine kwenye kipengele hiki...

kwenye wale watano waliopendekezwa wapo; Wizkid, KO (South Africa), Stone Bwoy (Nigeria), Cassper na DJ Arafat.


CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.