Latest News

HOOT NEWS!! ...huyu ndie MPENZI WA CRISTIANO RONALDO ...

Star wa mchezo wa mpira miguu ,Cristiano Ronaldo 'cr7', ameonekana na msichana ambae kwa sasa  inasemekana ndio mpenzi wake. Wawili hao wameonekana katika boti yakifahali huko ibiza wakifanya starehe na marafiki zao.


msichana huyo amefahamika kuwa ni  'Model' anaetokea columbia kwa jina anaitwa Paula Suarez .Kutoka mtandao wa habari ,Mirror inasemekana kuwa wawili hao walikutana katika moja ya kumbi za starehe huko Amnesia huko Ibiza

Angalia hapa chini ,videoinaonesha cristiano akifanya yake na huyo mrembo kutoka columbia...




source: mirror, youtube

kwa habari nyingine kuhusu CRISTIANO RONALDO ,bonyeza hapa --> CR7 , pia LIKE ukurasa wetu wa FACEBOOK PAGE hapa--> obbytune

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.