Latest News

JUSTIN BIEBER kutiwa NGUMI hadharani na bonge la mtu

Kutoka mtandao wa habari za maceleb hukoUS ,hivi karibuni Justin bieber alionekana akipigana na mtu ambae mkubwa kuliko yeye au mara mbili yake yeye...

Story inaelezwa hivi ,Siku chache zilizopita, baada ya Justin kutoka katika mechi ya fainali za NBA alirudi hotelini aliofikia usiku huo . Sasa stori inaelezwa hivi na Lamont ambaye ni huyu jamaa JB aliepigwa nae kwamba ,alimuona JB amekaa nje ya hotel na akamfata na kumuomba kupiga nae picha lakini Justin alimjibu kwa matusi kwa kumwambia hakuna picha usiku huu ,na kumalizia na tusi maneno hayo.


Tazama video ya balaa hili kwa JB...



CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.