Latest News

CELEBRITIES walioishi kwenye UMASKINI kabla ya mafanikio yao |They LIVED in POVERTY before SPOTLIGHTS


Sio siri...
Binadamu tunahitaji kuwa na subra katika haya maisha yetu kwanihujui Mungu kakupangia nini...EXCLUSIVELY! blogu hii inakuletea stori kuhusu mastaa ambao waliishi katika UKATA au UMASKINI wa kupitiliza kabla ya kuwa na mshiko mnene ambao ukawafanya wasahau maisha walioishi...

Fahamu kuhusu mastaa wafuatao umskini walioishi na mshiko wanaomiliki sasa...

HALLE BERRY ($ 80 million) : Aliishi kwenye MAKAZI ya msaada kwa wasio na Pakulala (homeless shelter).
anajulikana kama model pia ni mcheza filamu , ambae aliishi katika maisha ya ukata na wazazi wake hawakuweza kumpatia kila kitu ,lakini alihamia NYC kujaribu bahati yake ya kuwa mwigizaji na model...na hapo ndio alipofanikiwa na kuondoa umaskini huo.



JUSTIN BIEBER($ 200 million) : Nyumba alioishi ilikuwa imejaa Panya na Mende .



Kwa sasa anamiliki lamboghinis na magari ya kifahali kijana huyu msanii wa muziki kutoka canada ,lakini miaka michache alikuwa anaishim katika umaskini ambao ,alikuwa siku nyngine analala na njaa na nyumba yao ilikuwa na ni kiota cha mende na panya .



LEONARDO DICAPRIO ($ 200Million) : Aliishi mazingira na yaluiojaa hekaheka za MALAYA na WAUZA MADAWA


kwa sasa ni mmoja kati ya mastaa wanaopendwa saana ,na anajishulisha na umodel , kuigiza , pia ni mfanya biashara , alikuwa anaishi mazingira ya utatanishi na yasiyo na amani .


P.DIDDY($ 700 million) : Alilelewa kwenye nyumba za kijamii za serikali (national housing kwa hapa Bongo)
anajulikana kwa kufanya mapart ya kufa mtu na kumiliki majumba ya kifahari ,maboti ya starehe ya bei mbaya ,na magari ya kila aina ya bei mbayaa...lakini kabla ya hayo yoote yeye na familia yake waliishi katika nyumba za serikali kwa hapa bongo ni nationa housing huko harlem, NYC.


JIM CARREY($ 150 million ): Aliishi kwenye gari yeye na fimilia yake  


kwa sasa ni mmoja katika ya waigizaji wenye mshiko mnene na mmoja kati ya macomediani wakubwa kwenye bigscreen, Jim carey aliwakuwa akiishi kwenye VW camper ni kigari kidogo ambacho aliishi yeye na familia yake alikuwa mdogo na walikuwa wakifanya kazi katika moja ya kiwanda cha matairi maeneo hayo .

Hili ndio mfano wa gari aliloishi Jim carey (VW camper)


OPRAH WINFREY (2.7 Billion) : Alishawahi kuwa mfanyakazi wa ndani, na pia kubakwa .


aliishi kwenye nyumba ndogo huko missisipi,tenesse na mama yake mzazi ambaye hakuwahi kuolewa hakuwa na kazi . Oprah ilimfanya kuwa mfanyakazi wa ndani kwenye nyumba za watu na katika mazingira alioishi alikuwa anavaa mifuko ya kuuzia nyanya na alishawahi kubakwa . 

Lakini hayo yoote ni kudra za mungu kwahiyo maisha ndio yalivo, kwa sasa oprah anajulikana kuwa na mwanamke mwenye pesa (richest black woman) , hii ilianza badala ya kushiriki na kushinda miss Missisipi ,tanesse na kuingia mafunzo ya Jonalism .


NICKI MINAJ ( $ 54 Million) : Alikuwa waitress , na pia alikuwa akiiba mikate ili kuondoa njaa 


akiwa kama mmoja wa wanahiphop wanawake mwenye kuchukua tuzo zaidi ya tatu kwa mfululizo ,na alitajwa kuwa mwanadada anayetengeneza mshiko nono kwa wale wanahiphop ,lakini je,kabla ya maisha haya ya sasaivi unajua likuwaje??,,,,inaelezwa kuwa nicki minaj alikuwa waitress na alikuwa akiiba mkate ili kuondoa njaa na familia yake ilikuwa na ukata mkubwa ,,,lakin mama yake alikuwa na imani ya mwanae...na sasa imani hiyo inaonekana

source : 
posh24.com
elitedairly.com
yourdairlyscoop.com
huffingtonspot.com

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.