Latest News

huyu ndio MTOTO WA CHRIS BROWN

Siku ya leo chris brown apost kwenye profile yake ya Instagram akiwa na mwanae wa kike ...mwezi uliopita zilisikika habari nyingi kuhusu chris kuwa baba wa mtoto wa miezi 9 ....lakin hivi leo masaa macahe yaliopita Chris amepost akiwa na mwanae wa kike miezi kumi huku wakiwa wamevaa sare..!!



HONGERA BABA..!!
A photo posted by @chrisbrownofficial on



Na hii nyengine...

A photo posted by @chrisbrownofficial on




Source :
Chris Browm instagram
 hotnewhiphop.com

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.