Latest News

MANNY PACQUIAO na URAISI wa PHILLIPINES

"Mimi BADO MDOGO kuwa RAISI labda kuwa SENETOR"
Atamka hivi mwenyewe kwamba hapangi kuwa Raisi wa Phillipines au kugombania hiyo nafasi lakin labda kuwa senetor hapo ni sawa kwake...

Akieleza hapa kupitia TMZ...



Mwanzo wa wiki hii Promoter wq Manny alisema kwamba manny atakugombania uraisi mwaka 2022 ..lakini kwa sasa anahitaji kupata ujuzi wa kufikia level hiyo...

Kutoka TMZ tazama video hapa promoter akieleza..




Manny alisema kwenye media huko LA jana kuwa "siko qualified " na pia aliongeza kwa kusema "... haiko kwenye akili yangu ,mi ni mdogo "

Katika kuongeza habari manny alisema atakuwa celibate kwa kipindi hiki chote mpaka amalize pambano..
celibate ni mtu AMBAE HAFANYI MAPENZI KWA SABABU ZAKE MWENYEWE ...sasa jiulize wee msomaji kuwa atasubiri kwa mda gani...??!


Source:
Tmz.com

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.