Latest News

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS - 2015

 Hizi ni moja ya Awards kubwa hapa chini , na sasa imefika kwa mwaka huu 2015 kufanyika...zifuatazo ni NOMINEES za wasanii kwenye category tofauti ...

Baada ya kuipitia nimeona majina ya mastaa walioongoza kwa kuteuliwa kwenye vipengele vingi zaidi, wa kwanza ni Ali Kiba ambae yuko kwenye vipengele sita, anafuatia Diamond kwenye vipengele vitano na Jux ambae yuko kwenye vipengele vinne tu .








CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.