Latest News

TICKET za PAMBANO la MAYWEATHER VS PACQUAIO zimekwisha ndani ya SEKUNDE 60

KAMA UNANUNUA KARANGA!!

Tiket za pambano la may 03(kwa hapa Tanzania) ,zidi ya Mayweather Vs Pacquiao zilizouzwa kwa wananchi kwenye mtandao wa ticketmaster zimekwisha zote...


ukiangalia kwenye Picha hii hapa chini ...tiketi hizi zilikuwepo za kuanzia $1,500 dola mpaka $7500 kwahiyo ticket zoote hizo kwenye kila categoria zimekwisha ...


Source:
tmz.com

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.