Latest News

TYGA kutaka KURUDIANA na BLACK CHYNA..soma TEXT aliyomtumia BLACK CHYNA

Msanii wa hiphop kutoka YMCMB, Tyga hivi karibuni mwaka jana baada ya kuachana na aliyekuwa mama mtoto wake Black Chyna na kuanza mahusiana na Kylie jenner ,imekuwa gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii kwa kylie baada ya Black Chyna kuanza kupost mambo mengi ya kumtusi au kumdiss kylie ...


habari zilizoibuka sasa ni kwamba Tyga amemtext Blac Chyan akitaka kurudiana nae... katika convo' hiyo Tyga ni Kings Father ikioneshwa kwenye simu ya Blac...

Tazama Screen Shot ya Conversation hapa chini... 


TYGA akiwa na Blac Chyna na Mtoto wao King Cairo




source :
hollywoodlife.com




CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.