Latest News

LULU : Fahamu kuhusu TATTOO ya ELIZABETH MICHAEL 'LULU'

LULU
Kwa jina kamili ni Elizabeth Michael ni mmoja wa wasanii wa filamu hapa kwetu nchi ambae hakuna mfatiliaji wa filamu asiye mjua ...


Lulu amejichora Tattoo upande wa kushoto pembeni ya shingo yake...ikisema "only God can judge me" ...hii inamaana kuwa chochote anachokifanya katika maisha yake hakuna anayeweza kumuhukumu bali ni mungu peke yake.




source :
langolajiji.blogspot.com
vibe.co.tz

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.