Latest News

MASANJA MKANDAMIZAJI na MJENGO WAKE wa MAAANA...MASHALLAH!!!!

COMEDY INALIPA!
Huyu ndio Masanja Mkandamizaji akiwa kama mmoja wa Mcheekesheshaji wa kikundi wa Ze Comedi wanaorusha matangazo yao kwenye television ya TBC1 pia akishughulisha ya kazi ya Muziki wa Injili ,hivi ndivo pesa yake anavoweza kuitumia kwa kupata mjengo wenye hadhi kubwa ...




"We CHEKA wenzio Tunaingiza"
Ni moja ya Misemo ambayo alishasema masanja kwenye kipindi  cha ze comedi , na hivi ndio anaidhinisha msemo huo..

Huo Ndio Mjengo wenyewe

 





Akiwa Ndani ya Mjengo Wake




Source :
thechoicetz.com
grobalpublishers.info


CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.