Latest News

CRISTIANO RONALDO akamatwa na polisi AKICHIMBA DAWA ...soma kituko hichi cha CR7

Kwa sasa Mchezaji wa Real madrid yko katika mapumziko baada ya msimu huu wa ligi kuu kuisha .Mapumziko hayo ya staa huyu . Katika mapumziko hayo chrisriano yeye aliamua kwenda kisiwa kimoja huko ufaransa, Saint tropez



Camera za mapaparazi nchi huko ziko nae kila kona, wakamnasa usiku sana akiwa ametoka Club Le Quai na washkaji zake, akajibana sehemu ajisaidie haja ndogo..


camera zikamnasa pia !! Baadae inaonekana kuna Askari ambao walimkamata alafu wakamwachia




CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.