Latest News

NUH MZIWANDA kumbe anamsichana mabae ametundika ujauzito...sikiliza hii ya Soudy Brown



Soudy Brown ni yeye na mtaa, story na fununu za ishu za mastaa hazimpiti yani.. leo yuko nah ii ishu inayomhusu Nuh Mziwanda na Shilole.

Soudy kakutana na msichana ambaye amedai kuwa aliwahi kuwa na uhusiano na msanii wa Nuh Mziwanda na ana ujauzito wake!

Msichana huyo amesema siku chache zilizopita walipanga wakutane na Nuh ili amwambie kuhusu ujauzito huo, muda mfupi baadae akatokea Shilole akamfanyia fujo na kumpiga msichana huyo baada ya kumkuta akiwa na Nuh.

Msichana huyo amesema japo hajamwambia Nuh kuhusu ujauzito huo, hayuko tayari kuutoa ujauzito huo.
U Heard iko hapa kwenye sauti hii, utamsikia Soudy Brown akiwa anaongea na huyo msichana


CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.