Latest News

MSUMALI juu ya MSUMALI...DIAMOND PLATNUMZ anakaribia kutoa VIDEO NYENGINE!!

NI HATAREE mwaka huu...MSUMALI juu ya MSUMALI!!!
Baada ya kutoa video ya NANA akimshirikisha Mr.Flavor kutoka Nigeria ...sasa CHIBU DANGOTE ,COCA BWOY, DIAMOND PLTNUMZ anakaribia kutoa nyengine lakini hajatamka lini.



Alipost picha kwenye Mtandao wake wa INSTAGRAM na AKAANDIKA Hiki...

"Africa!!! I swear You Gonna Love this Video of Mine!!! (Niamini mimi, utaipenda hii Video...)"
A photo posted by Chibu Dangote..😷 (@diamondplatnumz) on

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.