Latest News

ALI KIBA aisema siku ya KUTOLEWA VIDEO YA CHEKECHA...fahamu hapa!!



Akizungumza katika kipindi cha Bongo Fleva Ali kiba Kasema:
"Video inatoka tarehe 29 Mwezi huu Mungu akipanga, tunapanga yetu lakini Mungu nae anapanga yake, ila sisi tumepanga tarehe 29"
Kama alikiba alivyofunguka, kuwa nasi siku ya jumatatu uweze kuwa wa kwanza kuona Video hii mpya.


BOFYA HAPA kuona PICHA za matukio ya kushoot video hiyoo..BOFYA -->> ALIKIBA -chekecha

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.