Latest News

ZARI the BOSSLADY awajibu wale wanaomtusi INSTAGRAM...FAHAMU alichojibu hapa..!!!

Mitandao imekuwa sehemu nzuri ya kuwezesha watu kuweza kukutana na kubadilishana mawazo, lakini mitandao hii imekuwa na matumizi mabaya pia.


Zari ana uhusiano na Diamond Platnumz ameamua kufunguka kuhusu wale wanaomjibu vibaya katika mtandao wa Instagram...


TAZAMA POST YA ZARI HAPA CHINII..kutoka INSTAGRAM!

Mnikome, maisha yangu yanakuhusu nini wewe, nayako hayanihusu mimi kabisa ata kidogo....oh sijui high heels, mara nguo imembana, sijui anapikia heels,pili pili hujakula wewe inaakuwashia nini? Mvae madera zenu mfunge mkanda mpite kimya kimya. Kwanini unastress???? HAYA NI MAISHA YANGU. Na sasa your all Gods' judges now.... how many people do we know that wear hijab but have very dirty ugly hearts? Huh? How many of you act so straight for these 30 days but the last 11 months your the worst monsters this world has ever seen. Now u wana come here and judge my faith by the dress???? Allah bless all of you....atleast I ain't acting snitchy, am being ME. And oh🙋, if you happen not to like what you see in ur news feed (my page) U always have 3 options, Block yourself, unfollow ama fast forward coz if your still following na you exercise your fingers kuwakya matusi page yangu, babe your just an obsessed fan if not a confused admirer dah majirani Habari nakazi mnayo......like I always say, no bad vibes from me. So stay blessed

A photo posted by Zari (@zarithebosslady) on


CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.