Latest News

BASATA kumfungia SHILOLE kufanya MUZIKI kwa MWAKA MMOJA...!!

Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) ni kwamba baraza hili limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja...


Hii ndio BARUA kutoka BASATA...

‘Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili‘ ...Endelea kusoma Barua hii...



Moja ya Picha ya Shilole akiwa Stejini Ubelgiji hii hapa...
Soma na TAZAMA picha kuhusu show hii ubelgiji....CLICK --> shilole ubelgiji


CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.