Latest News

XCLUSIV interview ya BIRDMAN kuhusu Ugomvi wake na Lil'wayne


Kumekuwa na stori nyingi sana kuhusiana na ugomvi wa Lil Wayne na Birdman, tukasikia kuwa Lil Wayne anataka kuondoka Cash Money Records kwasababu Birdman hataki kumlipa hela yake...Na hii ndio Full interview akiwa na Angie Martinez

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.