Latest News

sasa JUSTIN BIEBER na SELENA GOMEZ kurudiana tena...

Baada ya kuachana kwa kipindi cha muda mrefu, Justin Bieber na Selena Gomez wamerudiana tena .


Mtandao wa mastaa marekani umeeleza kuwa Justin na Selena sasa wamerudiana tena baada ya kukutwa kwenye pool la Hotel huko Beverly Hills, July 11 na kuwaacha mashabiki wakishangaa jambo hilo!
KIDUME NYUMA akiwa na BAE wake!!..tazama picha hapa chini!!





Kama hukubali PICHA tazama VIDEO hii HAPA!!

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.