Latest News

ZAYN MALIK kurudi tena ONE DIRECTION (1D) baada ya ugomvi wake na Naughty boy

Mwezi wa tano mwaka huu kulitokea Mmoja wa kundi la Wanamuziki la One Direction(1D), Zayn Malik kutokana na ugomvi uliotokea kati yake na Mwenzake wa kundi hilo , Louis Tomlinson kwa kumtusi mwenzake kwenye mtandao wake wa Twitter .

ZAYN MALIK
Baada ya kuondoka kwenye kundi hilo Zayn alienda kuungana na Naughty Boy...akiwa kama Producer wake .

ZAYN MALIK  &  NAUGHTY BOY
kutoka mtandao wa Mastaa wa Marekani imeelezwa hivi karibuni kuwa ZAYN MALIK sasa amemdondosha Naughty Boy na kurudi 1Direction baada ya ugomvi uliosababishwa Naughty Boy kuleak kipande cha video ya Zayn Malik "No Type", ambako hakutakiwa kufanya hivo.

Ugomvi huu ulitawala saana kwenye account zao za Twitter badala ya Zayn kugundua hili akaanza kupost Maneno machafu kuhusu Naughty boy....tazama twitter ya Zayn hapa Chini..




Pia zayn akapost nyengine ...



ONE DIRECTION TOGETHER AGAIN

source:
HollywoodLife

CELEBRITY BLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

created & designed by obby hans. Theme images by Bim. Powered by Blogger.